Mafuriko yaliyotokana na mvua
yamesababisha foleni leo asubuhi Jijini Kampala nchini Uganda
kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo ikiambatana na
radi.
Kartika barabara ya Kampala-Jinja
mafuriko yalisababisha kukosekana mawasiliano na makutano ya
Kyambogo, huku kina chama maji hayo kikifikia urefu wa nchi kadhaa
katika baadhi ya maeneo.
Madereva kadhaa walijikuta wakiwa
wamekwama kutokana na kukosa njia mbadala ya kupita kutokana na
barabara za Kinawataka na Bugolobi nazo kujaa mafuriko.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni