.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumanne, 25 Novemba 2014
WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUTOKA UBELGIJI WATEMBELEA MAENEO YA UWEKEZAJI BAGAMOYO
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiukaribisha ujumbe wa
Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ambao wametembelea mkoa wa Pwani kujionea fursa za uwekezaji.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiongozana na ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ambao wametembelea mkoa wa Pwani kujionea fursa za uwekezaji.
Katibu Kawala Mkoa wa Pwani, Mgeni Baruani akizungumza akizungumza wakati wa mkutano uliowakutanisha Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka nchini Ubelgiji na Uongozi wa Mkaoa wa Pwani.
Ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ukiwa katika mkutano wa pamoja na viongozi wa Mkoa wa Pwani.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara kati ya Tanzania na Ubelgiji, Otieno Igogo.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akizungumza wakati wa Mkutano
uliowakutanisha viongozi wa mkoa huo na ujumbe wa wafanyabiashara na
wawekezaji kutoka Ubelgiji.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akizungumza wakati wa Mkutano
uliowakutanisha viongozi wa mkoa huo na ujumbe wa wafanyabiashara na
wawekezaji kutoka Ubelgiji.
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza katika mkutano huo.
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza katika mkutano huo.
Ujumbe wa Tanzania ukiwa katika mkutano huo.
Kamishina wa Biashara kutoka Ubalozi wa Ubelgiji nchini, Ivan Korsak akizungumza katika mkutano huo.
Kamishina wa Biashara kutoka Ubalozi wa Ubelgiji nchini Tanzania, Ivan Korsak akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Ubelgiji na uongozi wa Mkoa wa Pwani waliofika kuangalia fursa za uwekezaji mkoani humo.
Shangwe Tamala akitoa mada kuhusu vivutio vya kitalii na maeneo ya uwekezaji katika mkoa wa Pwani.
Ujembe wa Tanzania na Ubelgiji ukiwa katika mkutano huo.
Mmoja wa wawekezaji kutoka Ubelgiji, Jean-Christophe Van Acker akizungumza wakati wa mkutano huo.
Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji wakiwa mjini Bagamoyo wakiangalia maeneo ya uwekezaji.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akimkabidhi zawadi, mmoja wa wawekezaji kutoka Ubelgiji, Yvan De Coninck. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dk. Diodorus Buberwa Kamala.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza (wa tatu kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wawekezaji kutoka Ubelgiji.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni