.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 25 Novemba 2014

WANAWAKE WASIOOLEWA WAPIGWA MARUFUKU KUINGIA HOTELINI SAUDI ARABIA

Hoteli nchini Saudi Arabia zimewapiga marufuku wanawake wasioolewa kuingia hotelini kutokana na tabia zao za kujigonga kwa wanaume, kuvuta sigara na kutumia muda mwingi katika simu zao za mkononi.

Hoteli kadhaa zimeweka ubao unaosomeka 'Wanawake Hawaruhusiwi', jambo ambalo ni pigo kwa watetezi wa haki za binadamu dhidi ya utawala wa nchi hiyo wa Kifalme wa Kiislam.

Hakuna sheria inayowakataza wanawake kusafiri wenyewe nchini Saudi Arabia lakini kunaimani za ndani za kidini kuwa wanawake wanapaswa kusindikizwa na mwanaume wa familia anayotoka wawapo maeneo ya umma.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni