.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 14 Novemba 2014

WANAHARAKATI WAZAMISHA VICHWA MCHANGANI KUSHINIKIZA AGENDA YA MABADILIKO YA HALI YA HEWA

Wanaharakati zaidi ya 200 wamefukia vichwa vyao kwenye mchanga katika fukwe ya Bondi, kuonyeshwa kukerwa kwao na kutochukuliwa hatua suala la mabadiliko ya Hali ya Hewa.

Wanaharakati hao wamefanya hatua hiyo wakati viongozi wa dunia wakiwasili Australia katika mkutano wa G20 utakaofanyika wikiendi hii huko Brisbane.

Waziri Mkuu wa Australia Tony Abbot amekosolewa kwa kutohusisha suala la mabadiliko ya Hali ya Hewa katika agenda ya mkutano huo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni