.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 14 Novemba 2014

VIONGOZI WA DUNIA WAANZA KUWASILI AUSTRALIA KWA MKUTANO WA G20

Viongozi wa dunia wameanza kuwasili nchini Australia kwa ajili ya mkutano wa G20 mwishoni mwa wiki hii unaofanyika kwenye Mji wa Queensland huko Brisbane.

Mkutano huo wa siku mbili unaohudhuriwa na marais wa Marekani, China, Urusi na wengineo, utajadili katika kusaidia ukuaji.

Waziri Mkuu wa Australia, Tony Abbott amesema viongozi hao watajadili suala la kuongeza ajira, kubaini udanganyifu katika ulipaji kodi, na kuimarisha uchumi wa dunia.

Hali ya mgogoro uliopo baina ya Urusi na Ukraine pia unatarajiwa kujadiliwa, huku wanaharakani wakitaka mabadiliko ya hali ya hewa yawe ndio agenda kuu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni