.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 28 Novemba 2014

WATEJA WAPIGANA NGUMI MADUKANI UINGEREZA KUGOMBEA BIDHAA ZA PUNGUZO MAALUM

Watu wamekuwa wakidundana ngumi katika baadhi ya maduka makubwa ya bidhaa nchini Uingereza, huku moja ya tovuti kubwa ya kuuza bidhaa seva yake ikishindwa kufanya kazi, wakati wateja wakihaha kununua bidha kwa bei chee kupitia ofa ijulikanayo kama Black Friday.

Tovuti hiyo inayouza bidhaa za maduka makubwa kama ya Boots, Game, Currys, Argos pamoja na Tesco Direct imepata hitilafu leo asubuhi wakati wanunuzi walipoingia kwa wingi kununua bidhaa online, ambapo bidhaa kama TV bapa, mashine ya kahawa, nguo, fenicha, nguo, midoli pamoja na bidhaa nyingine za nyumbani ziligombewa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni