.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Ijumaa, 28 Novemba 2014
WAWEKEZAJI WA MAKAMPUNI YA UBELGIJI WAFANYA ZIARA ZANZIBAR
Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji Dkt. Diodorus B. Kamala akielezea lengo la ujio wa wawekezaji kutoka Ubelgiji kuja kuwekeza nchini Tanzania alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kufuatia ujio wa wawekezaji wa nchi hiyo Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Waziri wa Miundombinu na Mawasilino Juma Duni Haji akiwa na watendaji wake wakuu wakimsikiliza Meneja mauzo
wa Kampuni ya ujenzi ya Anglo Belgian Corporation ya Ubelgiji walipofanya mazungumzo Ofisini kwake Kisauni.
Wamiliki wa makampuni
toka Ubelgiji wakimsikiliza Mkurugenzi Uenezi wa Mamlaka ya Uendelezaji
Vitega Uchumi Zanzibar (ZIPA) Bi. Nasria Mohd Nassor (hayupo pichani)
walipofika ofisini kwake Maruhubi Mjini Zanzibar.
Afisa Mipango wa Shirika la Bandari Zanzibar
Ali Haji akizungumza na wamiliki wa makampuni
kutoka Ubelgiji walipotembelea bandari ya Malindi mjini Zanzibar.
Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee akizungumza na ujumbe wa Wafanyabiashara
wa Makamupuni ya uwekezaji kutoka Ubelgiji walipomtembelea Ofisini kwake
Vuga Mjini Zanzibar.
Picha ya pamoja ya wawekezaji kutoka nchini Ubelgiji na viongozi
wa Mamlaka ya Uendelezaji Vitega Uchumi Zanzibar
(ZIPA).(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni