.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 27 Novemba 2014

WAZIRI WA AFYA WA HISPANIA AJUZULU BAADA YA KUTUHUMIWA KUNUFAIKA NA FEDHA HARAMU

Waziri wa Afya nchini Hispania Ana Mato amejiuzulu baada ya jaji kumtuhumu kunufaika na malipo fedha haramu.

Aliye kuwa mumewe Jesus Sepulveda amebainika kuhusika na kashfa kubwa ya rushwa katika kesi inayohusisha chama tawala cha Peoples.

Mahakama imetoa uamuzi unaoonyesha Bi. Mato hakuwa na ufahamu wa kutokea kwa uhalifu wowote ule.

Kesi hiyo ilipelekea Waziri Mkuu Mariano Rajoy, kuguswa na kashfa hiyo na kuomba msahmaha baada ya wanachama wa chama chake kukamatwa na polisi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni