.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 27 Novemba 2014

MAJARIBIO YA CHANJO YA EBOLA YAONYESHA MAFANIKIO NCHINI MAREKANI

Majaribio ya kwanza ya chanjo ya Ebola kwa binadamu, yameonyesha kuwa ni salama na yanaweza kuimarisha kinga dhidi ya virusi vya ugonjwa huo.

Watu 20 wamepatiwa chanjo hiyo baada ya kujitolea katika nchi ya Marekani, na wanasayansi wa Taasisi ya Taifa ya Afya ya nchi hiyo, wamesema matokeo yake yanaleta matumaini.

Matokeo ya utafiti huo yanaonyesha hakuna mtu yeyote aliyechanjwa aliyepata madhara, bali kinga yao imeimarika.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni