.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 27 Novemba 2014

WAENDESHA MASHTAKA NIGERIA WAMFUNGULIA KESI YA MAUAJI MTOTO WA KIKE

Wandesha mashtaka nchini Nigeria wamemfungulia kesi mtoto wa kike wa miaka 14, kwa tuhuma za kumuua mumewe mwenye umri wa miaka 35.

Katika kesi hiyo mtoto huyo Wasila Tasi'u anadaiwa kununua sumu ya panya na kumuwekea kwenye chakula mumewe na kumsababishia kifo.

Mtoto Tasi'u anayetokea familia masikini katika eneo la Kaskazini, anaweza akahukumiwa kifo iwapo atatiwa hatiani, ambapo wanaharakati wa haki za watoto wa kike wakisema mtoto huyo hapaswi kutiwa hatiani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni