Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Mwakilishi wa Baraza la Congress la Marekani aliyewashambulia Malia na Shasha Obama kwa kuvaa vinguo vifupi kupitia ukurasa wake wa Facebook amejiuzulu wadhifa wake.
Bi. Elizabeth Lauten, ambaye ni
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Mwakilishia wa Baraza hilo Stephen
Fincher, R-Tenn, wiki iliyopita aliwashambulia watoto hao wa rais
Barack Obama na kuwaponda kwa maneno makali.
Bi. Lauten alipopigiwa simu na kituo
cha habari cha ABC, kutaka kuthibitisha taarifa hizo alipokea simu
huku akiangua kilio, na kusema ni kweli amejiuzulu, wadhifa wake
tangu jumatatu asuhuhi.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni