Vikosi vya Usalama vya Lebanon
vinamshikilia mke na mtoto wa kiume wa kiongozi wa kundi la Dola ya
Kiislam (IS), Abu Bakr al-Baghdadi karibu na mpaka na nchi ya Syria.
Mke huyo na mtoto wa kiongozi huyo
walinaswa na kikosi cha intelejensia cha jeshi la Lebanon baada ya
kuingia nchi hiyo siku kumi zilizopita.
Gazeti la al-Safir limeripoti kuwa
mke wa Baghdadi anahojiwa katika wizara ya ulinzi ya Lebanon.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni