.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 2 Desemba 2014

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI LEO IKULU



Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 02, 2014.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuangalia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad akiweka sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 02, 2014.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akitia sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 02, 2014.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 02, 2014.
Rais Jakaya Mrisho kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Spika Anne makinda na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 02, 2014.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na familia ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 02, 2014.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 02, 2014.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni