Mratibu wa Uhurumarathon Innocent
Melleck akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam
wakati akielezea juu ya udhamini wa kampuni ya startimes kudhamini
kwa kutoa matangazo na vifaa vyenye Zaidi ya shilingi milioni nne na
laki tano.Kushoto kwake ni meneja huduma kwa wateja wa startimes
Jackson Ngowi.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni