.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 4 Desemba 2014

ALEXI'S SANCHEZ AIBEBA ARSENAL DHIDI YA SOUTHAMPTON LIGI KUU UINGEREZA

Bao pekee kutoka kwa mshambuliaji mwenye juhudi na uchu mkubwa wa kufunga mabao, Alexi's Sanchez lilitosha kuipa pointi tatu muhimu Arsenal katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza dhidi ya Southampton uliochezwa usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Emirates. 

Kwa matokeo hayo, Arsenal imesimama katika nafasi ya sita wakiwa na pointi 23 huku Southampton wakiwa nafasi ya tatu na pointi 26.
                                          Alexis Sanchez akifurahia bao lake dhidi ya Southampton

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni