.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 6 Desemba 2014

BAADA YA MAHAKAMA YA ICC KUMFUTIA MASHITAKA RAIS KENYATTA, WANANCHI KENYA WAANDAMANA KWA FURAHA

Kufuatia Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Mkosa ya Jinai ICC iliyopo Uholanzi, Fatou Bensouda kumfutia mashitaka Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya mashitaka yaliyokuwa mbele ya mahakama hiyo, wananchi wa Kenya waliingia mitaani jijini Nairobi kuonyesha furaha yao kwa hatua hiyo. 

Wafuasi wa Rais Kenyatta walikuwa na mabango yenye kuonyesha kumuunga mkono.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni