.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 21 Desemba 2014

BALOZI KAMALA AKABIDHI TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELIGIJI JEZI ZA MPIRA WA MIGUU

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa timu za mpira wa miguu za vijana wa Tanzania Ubeligiji baada ya kuwakabidhi jezi za mpira wa miguu. Balozi Kamala amewashukuru vijana hao kutangaza Tanzania vizuri na kudumisha umoja na ushirikiano miongoni mwao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni