.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 22 Desemba 2014

BALOZI KAMALA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA BARAZA LA NISHATI DUNIANI


Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Nishati Duniani Bwana Selim Kuneralp (kushoto) na Mhandisi John F. Kitonga wa kitengo cha Maendeleo ya Nishati Wizara ya Nishati na Madini Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Bwana Kuneralp amefika ofisi za Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji kubadilishana mawazo na Balozi Kamala kuhusu kazi za Baraza la Nishati Duniani na jinsi Tanzania inavyoweza kunufaika na shughuli za Baraza hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni