Diamond Platnumz akipozi baada ya kutwaa tuzo tatu za Channel O jana usiku nchini Afrika Kusini.
Kutoka kushoto ni Mama mzazi wa Diamond 'Sandra', Diamond na Zari katika picha ya pamoja.
Diamond (katikati) akiwa na management yake. Kulia ni Said Fella na Babu Tale (kushoto).
Diamond (katikati) akiwa na management yake. Kulia ni Said Fella na Babu Tale (kushoto).
MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametwaa tuzo tatu za Channel O jana usiku nchini Afrika Kusini. Tuzo hizo ni; Most Gifted new comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.
Kupitia ukirasa wake wa Facebook Diamond amewashuru sana mashabiki wa wote walio msupport.
"Kiu kweli, haikuwa rahisi kabisa.. lakini kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu na support kubwa mliyonipa iliwezesha Bongo Flavour yetu kuandika historia mpya kwenye ramani ya muziki wa Afrika...

Hii inaonyesha ni jinsi gani umoja ni nguvu na pia jinsi gani muziki wetu ukisupportiwa na kupewa kipaumbele unaweza kufika mbali zaidi...
Shukrani sana kwa @channeloafrica @channelotv kwa kuniona na kuthamini kipaji changu, My Family, Management, Media zote zilizokuwa zikinisupport, Watangazaji, Wasanii, Wadau na bila kuwasahau wapendwa wangu" - Ameandika Diamond.GPL

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni