.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 20 Desemba 2014

JOE HART KUITUMIKIA MANCHESTER CITY HADI MWAKA 2019

                  Joe Hart akisaini mkataba wa kuendelea kuitumikia Manchester City. 

Mlinda mlango namba moja wa Manchester City, Joe Hart amesaini mkataba wa muda mrefu wa kuendelea kuitumikia timu hiyo inayopigana kuutetea ubingwa wa ligi kuu Uingereza. 

Hart amesaini mkataba wa kuwa Etihad hadi mwaka 2019 huku akilipwa paundi 120,000 kwa wiki.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni