.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 5 Desemba 2014

MAHAKAMA YA ICC YAMFUTIA MASHTAKA RAIS WA KENYA, UHURU KENYATTA

Mwendesha Mashitaka Mkuu Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Uhalifu (ICC) Fatou Bensouda leo amefuta mashitaka yaliyokuwa yakimkabili rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika Mahakama hiyo.

Mwendesha Mashitaka Bensouda ameitaarifu chemba ya mahakama hiyo katika shauri aliloliwasilisha mapema leo akitaka kufuta mashitaka yaliyokuwa yakimkabili rais Kenyatta.

Bensouda amesema ushahidi hakuimarika kuweza kuthibitisha bila mashaka kwamba kiongozi huyo kutiwa hatiani kufuatia mashitaka aliyofungiliwa dhidi yake ya uhalifu wa kibinadamu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni