.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 5 Desemba 2014

MANJU MSITA KUPEPERUSHA BENDERA MOZAMBIQUE FASHION WEEK 'MFW-2014'

Mbunifu wa Mavazi nchini Tanzania Manju Msita kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya ushiriki wake katika maonesho ya Mozambique Fashion Week yatakayoanza Desemba 10 mpaka 14 ambapo atakuwa akipeperusha bendera ya taifa.
Mwanamitindo Matukio Chuma kulia akizungumza na wahandishi wa habari wakati wa kutangaza upeperushwaji wa bendera ya tanzania katika nchi ya mozambique fashion week ambayo mbunifu wa mavazi Manju Msita atashiriki na kupeperurusha bendera ya Tanzania kushoto ni mwanamitindo Vivian Williams ambaye anafanya shughuli zake za uwanamitindo Jijini Barcelona nchini Hispania.
Mwanamitindo anaefanya shughuli zake Jijini Barcelona nchini Hispania Vivian Williams kushoto akizungumza na waandishi wa habari juu ya ujio wake nchini kwa ajili ya kushiriki maonesho ya Swahili Fashion Week yatakayoanza Ijumaa ya Desemba 5 mpaka 7 kulia ni Mwanamitindo Matukio Chuma.
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi nchini Rajabu Mhamila kushoto akiangalia zawadi aliyopewa na mwanamitindo Matukio Chuma iliyotoka kwa Manju Msita.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni