.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 3 Desemba 2014

MAMIA WAMUAGA MSICHANA ALIYEUWAWA AKIZUIA MABINTI WASIDHALILISHWE

Kundi kubwa la watu nchini Ujerumani wametoa heshima zao za mwisho kwa mwanamke aliyeuwawa wakati akijaribu kuwazuia mabinti wawili wasidhalilishwe.

Msichana huyo Tugce Albayrak alifariki dunia Ijumaa baada ya kupigwa kichwani na kupoteza fahamu nje ya mgahawa wa McDonald karibu na mji wa Frankfurt.

Mamia ya waombolezaji wamehudhuria ibada ya marehemu iliyofanyika kwenye msikiti mmoja kabla ya mwili wake kwenda kuzikwa katika mji aliozaliwa.

Mwanaume wa mmoja wa miaka 18 anashikiliwa kutokana na shambulio hilo lililofanyika Novemba 15, mwaka huu na kuishtua nchi ya Ujerumani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni