.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 3 Desemba 2014

MAREKANI YASEMA MASHAMBULIZI DHIDI YA KUNDI LA IS YAMESABABISHA MADHARA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry amesema mashambulizi ya anga yaliyoendeshwa na Marekani pamoja na washirika wake dhidi ya IS yamesababisha madhara makubwa na kudhoofisha uwezo wa kundi hilo.

Bw. Kerry amesema kampeni dhidi ya kundi hilo zitachukua miaka mingi, lakini muungano huo utaendelea kukabiliana na IS kwa muda mrefu zaidi iwezekanavyo.

Mapema Marekani ilisema Iran, ambayo haipo kwenye muungano imetekeleza mashambulizi ya anga dhidi ya kundi la IS nchini Irak. Hata hivyo Iran imekanusha taarifa hiyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni