Mbunge wa chama cha Conservative,
Mark Pritchard amekamatwa kufuatia tuhuma za kubaka na kuachiwa kwa
dhamana.
Habari zilizotolewa leo zinaeleza
kuwa mbunge huyo wa jimbo la Wrekin huko Shropshire, alikamatwa na
kuhojiwa na polisi siku ya jumanne kwa tuhuma za kubaka.
Mbunge huyo mwenye umri wa miaka 48,
ambaye alikuwa ni mkurugenzi wa masoko, alijipeleka mwenyewe kituo
cha polisi na kupatiwa dhamana.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni