Waziri Mkuu, MizengoPinda
akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi
alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi,
Sheria Ngowi akimuonesha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baadhi ya
vitambaa vya kisasa vya suti ambavyo vitatuka Kumtengenezea Waziri
Mkuu jana jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akiangalia na kuchagua aina ya vitambaa vya suti amabvyo vitatumika
kutengenza baadhi ya Suti Zake alipotembelewa na Mbunifu wa Kimataifa
wa Mavazi, Sheria Ngowi jana jijini Dar es Salaam .Picha Zote: Atuza
Nkurlu-Sheria Ngowi Brand.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni