.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 30 Desemba 2014

MSAKO WA NDEGE ILIYOPOTEA: MABAKI NA MWILI MMOJA WAONEKANA UKIELEA HABARINI

Maafisa wa nchini Indonesia wamesema wameona mabaki kwenye bahari wakati wakitafuta ndege ya AirAsia namba QZ8501, iliyotoweka tangu siku ya jumapili.

Vitu kadhaa ukiwemo mwili vimeonekana kuelea kwenye bahari ya Java, eneo la kando la Indonesia la Borneo, ambalo ni miongoni mwa maeneo yanayotafutwa ndege hiyo.

Maafisa wa Indonesia wamesema mabaki hayo yanawezekana yakawa ya ndege hiyo iliyopotea.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni