.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 31 Desemba 2014

MTUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA APIGWA RISASI NA KUFA AKIJARIBU KUTOROKA MAHAKAMA YA KISUTU

Mtuhumiwa wa dawa za kulevya Adul Koroma raia wa Sierra Leone amepigwa risasi na kufa wakati akijaribu kutoroka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam.

Mtuhumiwa huyo alijaribu kutoroka leo asubuhi alipofikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa kesi yake, ambapo aliwatoroka askari na kukimbia kupanda fensi ya chuma na nguo zake zilinasa kwenye vyuma na polisi kumuwahi kwa kumpiga risasi.
                                Watu wakishanga baada ya mtuhumiwa huyo kupigwa risasi
                              Askari Magereza wakiutoa mwili wa mtuhumiwa aliyeuwawa

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni