.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 31 Desemba 2014

SALAAM ZA MWAKA MPYA WA 2015 TOKA KWA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa salamu za mwaka mpya wa 2015 kwa wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla na kuwatakia mwaka wenye Amani na Utulivu pia mafanikio makubwa ikiwemo ya Uchumi wa Taifa letu. Hafla hiyo ilifanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja [Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni