Meneja Uhifadhi wa Shirika la
Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania, Dr. Amani Ngusaru ,akizungumza na
wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali
katika semina ilioandaliwa na (WWF) iliofanyika Disemba 2-3, 2014
mkoani Morogoro juu ya utunzaji wa mazingira ili kuleta uwiano sawa
wa rasilimali zinazopatikana maeneo mbalimbali nchini.
Mkurugenzi wa Shirika la Utunzaji wa
Mazingira WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato akielezea malengo ya
Shirika hilo, ambayo pamoja na mambo mengine ni kuhakikisha ulinzi wa
viumbe hai na misitu izingatiwe ili kulinda mazingira na kuinua
uchumi wa taifa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni