.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 1 Desemba 2014

WANANDOA 2,000 WAFUNGA NDOA KATIKA UWANJA WA MPIRA NCHINI BRAZIL

Wanandoa wapatao 2,000 nchini Brazil wamefunga ndoa katika uwanja wa mpira Jijini Rio de Janeiro, na kuweka rekodi ya ndoa nyingi kufungwa kwa pamoja katika mji huo.

Ndoa hizo za watu wengi ambazo hufungwa kila mwaka ambazo zinalenga kusaidia watu wa kipato cha chini wasiomudu gharama za kulipia kufunga ndoa kuweza kufunga ndoa.

Mamlaka ya Mji wa Rio de Janeiro inayounga mkono mpango huo, ilikodishwa treni kwa ajili ya kuwasafirisha wanandoa hao na wageni wao.

Karibu watu 12,000 walihudhuria sherehe hizo za ndoa za watu wengi zilizofanyika katika uwanja wa soka wa Maracanazinho arena.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni