Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa ujumbe
wa kukabiliana na Ebola katika nchi za Afrika Magharibi amesema kuwa
bado kunahatari kubwa ugonjwa huo hatari unaweza kusambaa katika
maeneo mengine duniani.
Mkuu huyu Tony Banbury ameshindwa
kusema iwapo malengo yake aliyopanga kukabiliana na Ebola,
yamefanikiwa.
Malengo hayo ni pamoja na tiba kwa
waliougua ugonjwa huo pamoja na maziko salama kwa miili ya watu
waliokufa kwa Ebola.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni