.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 1 Desemba 2014

PAPA FRANCIS AWATAKA VIONGOZI WA KIISLAM DUNIANI KULAANI UGAIDI

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amewasihi viongozi wa Kiislam duniani kulaani vitendo vya ugaidi vinavyofanywa duniani kwa kutumia jina la Uislam.

Akiongea akiwa kwenye ndege njiani kuelekea Rome, Papa amesema anatambua namna waislam wema wanavyoumizwa na watu wanaohusisha Uislam na ugaidi.

Papa Francis alikuwa anarejea nchini Italia baada ya ziara yake ya siku tatu nchini Uturuki, ambapo alijadiliana juu ya suala la mgawanyiko baina ya imani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni