.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 19 Desemba 2014

WATOTO WANANE WAKUTWA WAKIWA WAMEKUFA KWENYE NYUMBA MOJA NCHINI AUSTRALIA

Polisi nchini Australia wamesema watoto wanane wamekutwa wakiwa wamekufa kwenye nyumba huko Cairns kaskazini mwa Queensland.

Polisi wamesema mwanamke wa umri wa miaka 34, ambaye ni mama wa watoto wapatao saba amekimbizwa hospitali akiwa na jeraha la kuchomwa kisu lakini hali yake si mbaya.

Hata hivyo polisi hawajathibitisha taarifa kuwa watoto hao wenye umri wa kuanzia miezi 18 hadi miaka 15 kama nao wameuwawa kwa kuchomwa visu.

Katika taarifa yake Waziri Mkuu wa Australia Tony Abbott amesema tukio hilo ni uhalifu usio elezeka.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni