.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 19 Desemba 2014

RAIS UHURU KENYATTA ATIA SAINI SHERIA YA USALAMA ILIYOPITISHWA JANA NA BUNGE

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta leo ametia saini kuwa sheria madadiliko ya sheria ya usalama ya mwaka 2014.

Sheria hiyo ilipitishwa jana na wabunge katika kikao maalum kwenye bunge la taifa baada ya malumbano makali.

Katika hotuba yake Ikulu, Rais Kenyatta amesema hakuna jambo jipya katika sheria hiyo, linalokiuka Muswada Haki za Binadamu ama Katiba.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni