.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 31 Desemba 2014

WATU WAZIMA SABA NA WATOTO WAWILI WAKUTWA WAKIWA WAMEKUFA CANADA

Watu wazima saba na watoto wawili wamekutwa wakiwa wamekufa katika mji wa Edmonton nchini Canada, baada ya polisi kusema kuwa mauaji hayo ni yasiyonamaana.

Mmoja wa waliyekufa inaaminika kuwa amejiua mwenyewe, na polisi hawana nia ya kumtafuta mtuhumiwa na wanachukulia mauji hayo kuwa ni ya mgogoro wa kifamilia.

Mauaji hayo yamefanyika katika maeneo tofauti ya mji wa Edmonton, kwenye mkoa wa magharibi wa Alberta na miili saba imekutwa kwenye nyumba moja mkuu wa polisi Rod Knecht amesema.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni