Wakati timu za Manchester United, Chelsea na Arsenal zikiwa ugenini, wenyewe mabingwa watetezi Manchester City na Liverpool wao watakuwa katika viwanja vyao vya nyumbani.
Chelsea ndio vinara wa ligi hiyo mpaka sasa wakionyesha soka la hali ya juu na nia ya dhati ya kulitaka kombe hilo.
Ratiba kamili ya mechi za leo ni kama ifuatavyo:-
Stoke vs Manchester United
Aston Villa vs Crystal Palace
Hull vs Everton
Liverpool vs Leicester
Manchester City vs Sunderland
Newcastle vs Burnley
QPR vs Swansea
Southampton vs Arsenal
West Ham vs West Brom
Tottenham vs Chelsea
Stoke vs Manchester United
Aston Villa vs Crystal Palace
Hull vs Everton
Liverpool vs Leicester
Manchester City vs Sunderland
Newcastle vs Burnley
QPR vs Swansea
Southampton vs Arsenal
West Ham vs West Brom
Tottenham vs Chelsea
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni