.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Januari 2015

JAMES MILNER AWA SHUJAA WA MAN CITY IKIICHAPA SHEFFIELD 2-1 KUWANIA KOMBE LA FA

Manchester City imeendeleza harakati zake za kutaka kutwaa vikombe zaidi nchini Uingereza, baada ya jana kuifunga Sheffield Wednesday kwa jumla ya mabao 2-1 katika mchezo wa kuwania kombe la FA uliochezwa uwanja wa Etihad. 

Mabingwa hao watetezi wa kombe la ligi kuu nchini Uingereza, walijipatia mabao yao yote mawili kupitia kwa James Milner katika dakika ya 66 na 90. 

Bao Sheffield lilifungwa kunako dakika ya 15 mfungaji akiwa ni Atdhe Nuhiu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni