.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Januari 2015

YANGA YAITAMBIA POLISI KOMBE LA MAPINDUZI, YAICHAPA 4-0

Mshambuliaji wa timu ya Yanga akiwapita mabeki wa timu ya Mafunzo katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya Yanga imeshinda 4-0.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga Khamis Tambwe akituliza mpira huku beki wa timu Polisi akijiandaa kumzuia.
Wachezaji wa timu ya Yanga na Polisi wakiwania mpira katika mchezo wao kuwania Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zenj. 

                                                                 Habari na picha kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni