.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 4 Januari 2015

JON JONES AMDUNDA DANIEL CORMIER JIJI LAS VEGAS NA KUTETEA TAJI LAKE

Jon Jones amefanikiwa kumdunda Daniel Cormier jijini Las Vegas, Marekani na kutetea taji lake la uzito wa juu la UFC katika mchezo huo wa mapambano ya kutumia ngumi, mateke na mieleka.

Jones alimpeleka chini mara tatu mpinzani wake Cormier, na kushinda kwa uamuzi ambao ulipitishwa na majaji wote.
                                  Jones akimpiga teke la ubavuni mpinzani wake Cormier
                                                Cormier akimnyanyua juu mpinzani wake Jones 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni