.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Januari 2015

KOMBE LA FA, ARSENAL YAICHAPA HULL CITY 2-0

Ikicheza nyumbani katika uwanja wa Emirate's, timu ya soka ya Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wageni wao Hull City katika mchezo wa kuwania kombe la FA. 

Katika mchezo huo, washika bunduki hao wa jiji la London walijipatia mabao yao kupitia kwa Joel Campbell na Alexis Sanchez.
Wachezaji wa Arsenal, kutoka kushoto Santi Cazorla, Hector Bellerin, Alex Oxlade-Chamberlain na Sanchez wakipongezana baada ya Sanchez kufunga bao. 

Matokeo ya michezo mingine ya FA ni kama ifuatavyo:-

Dove 0 vs 4 Crystal Palace

QPR 0 vs 3 Sheffield United

Sunderland 1 vs 0 Leeds

Aston Villa 1 vs 0 Blackpool

Southampton 1 vs 1 Ipswich 

Stoke 3 vs 1 Wrexham

Yeovil 0 vs 2 Manchester United

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni