.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Januari 2015

WATU WAWILI WAFA BAADA YA JENGO LA GHOROFA KUANGUKA USIKU JIJINI NAIROBI

Watu wapatao wawili wamekufa na wengine kadhaa wakijeruhiwa jana usiku baada ya jengo la ghorofa sita la makazi kuanguka katika makazi ya Huruma Jijini Nairobi.

Mtu mmoja alikufa wakati akiwasili hospitali ya Kenyatta, wakati huo huo mwili wa mtoto ukitolewa kwenye kifusi, kwa mujibu wa maafisa wa kitendo cha taifa cha kukabiliana na majanga Kenya.

Maafisa wa Jiji la Nairobi wamesema watu 22 wamenusurika baada ya kutolewa kwenye vifusi vya jengo hilo, hata hivyo haijulikani ni watu wangapi bado wapo kwenye jengo hilo lililoanguka.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni