.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Januari 2015

LEBANON YAWEKA VIKWAZO VIPYA KWA WAKIMBIZI KUTOKA SYRIA

Vikwazo vipya kwa wananchi wa Syria wanaoingia nchini Lebanon vinaanza utekelezaji wake hii leo, katika kudhibiti uingiaji wa wakimbizi wanaotafuta hifadhi kukimbia vita nchini Syria.

Awali wasafiri baina ya nchi hizo mbili ulikuwa hauna vikwazo vyovyote, lakini sasa wananchi wa Syria itawabidi kupata kwanza viza kabla ya kuingia Lebanon.

Hii ni hatua mpya ya kukabiliana na wingi wa wakimbizi wanaotoka Syria, ambapo hadi sasa Lebanon imewapokea wakimbizi zaidi ya milioni moja.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni