.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Januari 2015

KOCHA DAVID MOYES ATOA GUNDU KWA KUICHAPA BARCELONA

Kocha aliyetimuliwa Manchester United, David Moyes, ameiongoza timu yake mpya ya Real Sociedad kuipa kipigo Barcelona na kutinga nafasi za juu za msimamo wa ligi ya La Liga baada ya kupata ushindi wa bao 1-0, pongeze zikienda kwa mchezaji wao Jordi Alba.

Huku Real Madrid ikiwa imelala 2-1 dhidi ya Valencia katika mchezo wa awali, ilikuwa fursa kwa timu hiyo ya Barcelona maarufu kama the Catalans kukwea juu ya msimamo wa ligi na kuongeza ushindani wa kuwani kutwaa ubingwa.

Katika mchezo huo kocha Luis Enrique aliwaanzisha benchi wachezaji wake Lionel Messi, Neymar pamoja na Dani Alves, kutokana na kuwa walikuwa kwenye mapumziko, lakini hata alipowaingiza baadae hawakufanikisha kubadili matoke.
                                            Neymar akizuiwa kukatiza kwenda kufunga goli

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni