Katibu mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini Antoni Rutta katikati akiwainua mikono juu mabondia Mada Maugo na Kalama Nyilawila wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika march 8 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Picha na SUPER D BOXING NEWS
| Mabondia Mada Maugo kushoto na Kalama Nyilawila wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika March 8 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Mabondia wakiwa katika picha ya pamoja kushoton ni Emilio Norfat,Nassibu Ramaradhani,Mohamed Matumla na Amosi Mwamakula |
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni