.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 27 Januari 2015

MAJIMBO SABA YA MAREKANI YATANGAZA HALI YA HATARI

Hali ya tahadhari imetangazwa katika majimbo saba ya Marekani, wakati wa kukabiliwa na upepo mkali mithili ya kimbunga huku kukiwa na theluji yenye upana na sentimita 90, kaskazini-mashariki.

Majimbo ya Boston, New York na Philadelphia ilianza kusitisha shughuli mbalimbali tangu jumatatu huku theluji ikiendelea kujikusanya na matarajio ya hali kuwa mbaya zaidi baadae.

Magari yasiyo ya msaada wa dharura yamepigwa marufuku kutembea katika barabara ya maili 6,000 Jiji la New York.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni