.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 27 Januari 2015

AFCON 2015, ZAMBIA NA CAPE VERDE ZAFUNGASHA VIRAGO KATIKA MCHEZO ULIOKUWA NA MVUA KUBWA

Nchi za Zambia na visiwa vya Cape Verde zimejikuta zikiondoka katika michuano ya kuwania kombe la Mataifa Afrika, baada timu hizo kutoka uwanjani zikiwa hazijafungana katika mchezo uliochezwa jana. 

Mchezo huo wa kukamilisha ratiba ya kundi B ulichezwa huku mvua kubwa ikiwa inanyesha uwanjani. 

Timu hizo zimejikuta zinaondoka baada ya kumaliza hatua ya makundi zikiwa za mwisho, Zambia ikiwa mkiani na pointi 2 nao Cape Verde wakiwa nafasi ya tatu na pointi 3.
Mshambuliaji wa Cape Verde Ryan Mendes ( kushoto ) akichuana na Stopilla Sunzu wa Zambia katika mchezo huo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni