.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 26 Januari 2015

MAKAMU MWENYEKITI CCM,DK. SHEIN NA KATIBU MKUU WA CCM KINANA WAWASILI KISIWANI PEMBA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa karume Pemba ambapo atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katikauwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba jioni leo
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akivalishwa shada la mauwa na kijana Chipukizi wa CCM baada ya kuwasili katika Uwanja wa karume Pemba ambapo atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM leo katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba,
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba ambapo atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM leo katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba,(pichani) akipena mkono na Katibu Mkuu Uenezi CCM Taifa Nape Mnauye
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali wa CCM alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo ambapo atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla baada ya kupata mapokezi makubwa alipowasili katika uwanja wa Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo ambapo atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba,[PICHA NA IKUU.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni