Ijumaa, 9 Januari 2015
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA JUMUIYA YA UWEKEZAJI NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uwekuzaji Vitega uchumi Nchini (Cti) Dkt. Samuel M. Nyantahe wakati Ujumbe wa Jumuiya hiyo uliomtembelea Makamu wa Rais kwenye Makaazi yake Tunguu mjini Zanzibar, leo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uwekezaji Vitega Uchumi Nchini Dkt. Samuel M. Nyantahe akimkabidhi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal baadhi ya ramani, wakati Ujumbe wa Jumuiya hiyo uliomtembelea Makamu wa Rais kwenye Makaazi yake Tunguu mjini Zanzibar, leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Uwekuzaji Vitega uchumi Nchini (Cti) uliongozwa na Mwenyekiti wake Dkt. Samuel M. Nyantahe wakati Ujumbe huo uliomtembelea Makamu wa Rais kwenye Makaazi yake Tunguu mjini Zanzibar, leo Januari 09,2015. (Picha na OMR)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni