Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa
hotuba yake wakati wa tafrija ya mwaka mpya aliyoiandaa huko Ikulu
jana tarehe 10.1.2015 kwa ajili ya wenza wa mabalozi wa nchi za nje
walioko hapa Tanzania.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiongozwa
na Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakhia Bilal (wa kwanza kushoto)
wakisikiliza hotuba ya Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (hayupo
pichani) wakati wa tarfija ya mwaka mpya aliyowaandalia wenza wa
mabalozi wa nchi za nje waliopo hapa Tanzania jana tarehe 10.1.2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akisalimiana na Mama Anna Mkapa wakati wa tafrija ya mwaka mpya
aliyoiandaa huko Ikulu jana tarehe 10.1.2015 kwa ajili ya wenza wa
mabalozi wa nje hapa nchini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni